Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Boss kama umeanza kuchat nao waombe wakuambie auction grade ya hiyo gari na pia waombe auction/inspection sheet.
Ukipata hivo utajua u-serious wa ilo tatizo.
Ila kama una doubts tafuta IST nyingine mbona zipo kibao tu.
Hilo gari ni used, sawa ila maybe ni Oil leakage ilitokea hapo au katika kulifanyia service na repair madoa madogo yakabakia hapo, jaribu kuwaulizia pia dealers unaonunua kuhusu hapo
Kwani halitengenezeki?Oil leak hiyo gari
Ukiwa unapaki inavuja kidogo kidogo yani ila itakusumbua maana kila mda fulani wewe wa kuweka oil na kipindi litafikia kukaanga injini.
Tafuta gari lengine.achana na hilo
View attachment 1716127
Oil leak hiyo gari
Ukiwa unapaki inavuja kidogo kidogo yani ila itakusumbua maana kila mda fulani wewe wa kuweka oil na kipindi litafikia kukaanga injini.
Tafuta gari lengine.achana na hilo
View attachment 1716127