Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuweka wakili siyo sababu ya kuhamisha kesi.Andika barua kuiomba mahama kufanya hivyo ukiwa na sababu ya msingi na sababu moja wapo ni kuwa na uwakilishi wa kisheria (Advocate)....hii ni kama mahakama ya mwanzo ina mamlaka ya kusikiliza shauri lako.
Kama mahakama haina mamlaka ya kusikiliza shauri lako, weka pingamizi ambalo litasikilizwa na kuamuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app