Msaada: Naomba kujuzwa biashara ya kuuza na kununua Hisa / Securities on line

Msaada: Naomba kujuzwa biashara ya kuuza na kununua Hisa / Securities on line

sundoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
2,067
Reaction score
2,759
Wadau naomba kujua kama kuna mtu yeyote ana uelewa juu ya hii biashara ya buying and selling securitues on line. Hapa kwetu bongo ipo tayari? Kama ipo inafanyika vipi!? Kuna website zina interact na DSE? Na mengine mengi kama yapo kuhusu hii business wakuu.

I really appreciate your coments intellectuals.
 
Na mimi pia ningependa kujuzwa kuhusiana na hili, kwa yeyote mwenye ujuzi huu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom