Msaada: Naomba kujuzwa hatua na jinsi ya kutengeneza Sushi

Msaada: Naomba kujuzwa hatua na jinsi ya kutengeneza Sushi

Unko T

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
200
Reaction score
266
Msaada tafadhali!
[emoji39] Habari,
Kuna rafiki amenunua chakula chenyewe amenijuza kinaitwa Sushi.

Naomba kufahamu kuna sSushi za aina ngapi na jinsi ya kuandaa Sushi tamu kuliko zote.

By the way I have a date this coming weekend, and I would love to surprise her with a hot Sushi[emoji39]

Shukrani!
[/IMG][/URL]
 
Ungeingia youtube ungepata full nondo.

Na huyo manzi ni mchina au mkorea??

Maana kama mbongo duuuh!! Angalia usije ukaji-surprise mwenyewe
 
Back
Top Bottom