Msaada: Naomba kujuzwa juu ya taratibu na gharama za kupiga chipping kwenye nyumba

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Poleni kwa mahangaiko ya hapa na pale.

Kama kichwa tajwa hapo juu, naomba mwenye uelewa wa process nzima ya chipping anipe elimu kidogo, pia gharama zake kwa kuta za nyumba yenye Sqm 72, maana nawaza jambo hili kulifanya katika nyumba yangu

Natanguliza shukrani.
 
Aisee,
Ngoja niweke kambi hapa. Maana nimejenga sehemu yenye unyevu fundi kaniambia nisipige rangi ukuta, chipping ndio muafaka.

Inaweza kua style hii.



Au upate fundi mzuri hiyo chipping apige mistari kama hii hapa chini. Sio chipping ila nimependa hiyo mistari.
 
Daaah! Naomba ABC za fundi wako , angalau nipate mwanga kidogo, maana NAHITAJI kujua gharama zinakuwaje kabla sijaanza mchakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…