Msaada: Naomba kujuzwa namna ya kuifunga simu iliyoibiwa; IMEI ninazo

Kama Una email na pass yake, download find device ya Google playstore, kisha login Kisha ilock.
Una ilock kwa imei mabuda wanakuja jaza izo boxes imeya no mzigo unarudi hewani
 
Kwa android hakuna ujanja akitaka kuitumia ataitumia truz hata Imei zinabadilishika, kulock simu kuna saidia tu asichunguze data zako na kupata siri zako.
Na kama email na pass aliwekewa na mtu na hakumbuki ila imei akawa nazo inaweza ikalokiwa?
 
Na kama email na pass aliwekewa na mtu na hakumbuki ila imei akawa nazo inaweza ikalokiwa?
Bro tafuta cm nyingine bora ingekua iphone lakini simu yoyote ya android funga pattern n password nafungia dakika moja tu. Unajiita @ Cia mgumu halfu hakuna kitu kichwani
 
Na kama email na pass aliwekewa na mtu na hakumbuki ila imei akawa nazo inaweza ikalokiwa?
Mpaka mamlaka ndio zina uwezo wa kudeal na imei kufungua, kutrack etc. Ukienda polisi ndio wanaweza fanyia kazi hili.
 
Bro tafuta cm nyingine bora ingekua iphone lakini simu yoyote ya android funga pattern n password nafungia dakika moja tu. Unajiita @ Cia mgumu halfu hakuna kitu kichwani
Wewe ulitakiwa ujibu kwa utaalamu wako tu mkuu ila dhihaka si kitu rafiki, unaweza ukawa mjuzi wa kuzima simu ila huwezi kuingia shimoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…