Msaada: Naomba kujuzwa napoweza kupeleka malalamiko yangu kwa tatizo hili

Annie nai

New Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Habari,

Nauliza naweza peleka malalamiko yangu sehemu ipi. Ni hivi chuo akitaki kuweka motokeo yangu nacte toka mwaka jana nimekosa kuendelea na chuo kikuu na mwaka huu awajaweka kila siku wananizungusha tu nisaidie maana nimechoka maneno yao.

Nisaidieni
 
Hapo lazima kutakuwa na sababu coz hawawez kuacha kuyapeleka bila sababu maalum.. either unadaiwa
 
Hauna deni kweli wewe? Labda kuna tatizo ulilifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…