P p2k Senior Member Joined Sep 15, 2019 Posts 108 Reaction score 261 Jun 5, 2020 #1 Natumaini mpo vizuri wakuu, Naomba kuuliza ofisi za NACTE ziko sehemu gani hapa mkoani Mbeya? Msaada please mimi ni mgeni mkoani hapa
Natumaini mpo vizuri wakuu, Naomba kuuliza ofisi za NACTE ziko sehemu gani hapa mkoani Mbeya? Msaada please mimi ni mgeni mkoani hapa
kitokololoo JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 704 Reaction score 818 Jun 5, 2020 #2 Nenda stendi kuu ya Mbeya panaitwa soko matola nyuma ya stendi hapo ndipo panaofisi au uliza chuo cha utumishi wa umma mbeya kipo hapo hapo soko matola ukiuliza Ofisi za NACTE wanakuelekeza.
Nenda stendi kuu ya Mbeya panaitwa soko matola nyuma ya stendi hapo ndipo panaofisi au uliza chuo cha utumishi wa umma mbeya kipo hapo hapo soko matola ukiuliza Ofisi za NACTE wanakuelekeza.