Msaada: Naomba kujuzwa shule za watoto wenye mahitaji maalum zilipo maeneo ya Morogoro

Msaada: Naomba kujuzwa shule za watoto wenye mahitaji maalum zilipo maeneo ya Morogoro

fundi msati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
216
Reaction score
91
Habari,

Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi kukua na tulijaribu kumpeleka hizi shule za kawaida ila maendeleo yake sio mazuri.
 
Sina taarifa saaana but mimi najua moja iko Tabora mjini na nyingine iko Mwanza maeneo ya bugarika huko.
Ntajarb kufuatilia zaidi.

Kila la kheri na pole mkuu
 
Sina taarifa saaana but mimi najua moja iko Tabora mjini na nyingine iko Mwanza maeneo ya bugarika huko.
Ntajarb kufuatilia zaidi.

Kila la kheri na pole mkuu
Oh sawa kaka nasubiri taarifaza kutosha
 
Ungekua Dar , shule za elimu maalumu kwa wasiosikia zipo nyingi hata za serikali zinafanya vizuri pia!

Mimi pia ni Mwalimu elimu maalumu (Autism and Mental retardation)
Ahaa [emoji120][emoji120][emoji120] gharama zake huwaje
 
Kwa Arusha nenda Sibusiso Iko maeneo ya Shangarai Iko chini ya wazungu Kwa Dar nenda Bunju kituo kabla hujafika Bunju B au nenda Mbezi beach kituo Cha Rafia Inaitwa St Joseph
 
Kama ni bubu mpeleke geita, shule ya msingi kasamwa!

Wanapikwa na kupikika.
 
Habari,

Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi kukua na tulijaribu kumpeleka Hizi shule za kawaida ila maendeleo yake sio mazuri.
Mtafute dada moja kule Facebook anaitwa LAURA PETTIE nadhan anawez kukupa msaada wa hitaj lako
 
Usisahau na MTWIVILA IRINGA MJN naona hata watu wa dsm wanapeleka watt pale
 
Ungekua Dar , shule za elimu maalumu kwa wasiosikia zipo nyingi hata za serikali zinafanya vizuri pia!

Mimi pia ni Mwalimu elimu maalumu (Autism and Mental retardation)
Hellow Mr, naomba unifahamishe shule hzo zilizopo Dar. Mwanangu haingei sasa ana miaka mi5. Tafadhali naoma nisaidie. Naishi Kinyerezi.
 
Hellow Mr, naomba unifahamishe shule hzo zilizopo Dar. Mwanangu haingei sasa ana miaka mi5. Tafadhali naoma nisaidie. Naishi Kinyerezi.
Mmeangalia kwanza hospital na daktari amerecommend ana changamoto yeyote mkuu ?
 
Nimeshaenda hospitali wakasema ni usonji, nikawa nampeleka kwa ajili ya speech therapy, ila bado hajakaa sawa, nikafikiri labda kwa shule inaweza kumsaidia maana atakuwa na wenzake kule.
 
Nimeshaenda hospitali wakasema ni usonji, nikawa nampeleka kwa ajili ya speech therapy, ila bado hajakaa sawa, nikafikiri labda kwa shule inaweza kumsaidia maana atakuwa na wenzake kule.
Sawa nipe muda kidogo , nitaulizia shule iliyo karibu na wewe kisha nitakupa mrejesho !!
Anaweza kujifunza na kufanya vizuri zingatieni vipaji vyake pia !

Umefanya jambo la muhimu sana kadri unavyowahi kumpeleka mtoto shule ndivyo inakua rahisi kwa yeye kujifunza kwa wepesi !
 
Habari,

Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi kukua na tulijaribu kumpeleka hizi shule za kawaida ila maendeleo yake sio mazuri.
Na Mimi nipo mwanza naitaji jamani shule kwajili ya mwanangu ipo moja inabei sana usafir
 
Back
Top Bottom