fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 216
- 91
Oh sawa kaka nasubiri taarifaza kutoshaSina taarifa saaana but mimi najua moja iko Tabora mjini na nyingine iko Mwanza maeneo ya bugarika huko.
Ntajarb kufuatilia zaidi.
Kila la kheri na pole mkuu
Ahaa sawa morogoro hii ni rahisi kuifikia nitafatiliaNenda Amani center pale Chamwino Morogoro watakusaidia wapo hapo ni kituo chao na shule yao ipo hapahapo nafikiri.
Ungekua Dar , shule za elimu maalumu kwa wasiosikia zipo nyingi hata za serikali zinafanya vizuri pia!
Mimi pia ni Mwalimu elimu maalumu (Autism and Mental retardation)
Ahaa [emoji120][emoji120][emoji120] gharama zake huwajeUngekua Dar , shule za elimu maalumu kwa wasiosikia zipo nyingi hata za serikali zinafanya vizuri pia!
Mimi pia ni Mwalimu elimu maalumu (Autism and Mental retardation)
Mtafute dada moja kule Facebook anaitwa LAURA PETTIE nadhan anawez kukupa msaada wa hitaj lakoHabari,
Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi kukua na tulijaribu kumpeleka Hizi shule za kawaida ila maendeleo yake sio mazuri.
Kwa serikali ni bure !! Kwa private sijuiAhaa [emoji120][emoji120][emoji120] gharama zake huwaje
Shule ya msingi kikundi ipo pale Sultani area karibu na soko kuu, pia wanakitengo kabisa na madarasa yaoAhaa sawa morogoro hii ni rahisi kuifikia nitafatilia
Hellow Mr, naomba unifahamishe shule hzo zilizopo Dar. Mwanangu haingei sasa ana miaka mi5. Tafadhali naoma nisaidie. Naishi Kinyerezi.Ungekua Dar , shule za elimu maalumu kwa wasiosikia zipo nyingi hata za serikali zinafanya vizuri pia!
Mimi pia ni Mwalimu elimu maalumu (Autism and Mental retardation)
Mmeangalia kwanza hospital na daktari amerecommend ana changamoto yeyote mkuu ?Hellow Mr, naomba unifahamishe shule hzo zilizopo Dar. Mwanangu haingei sasa ana miaka mi5. Tafadhali naoma nisaidie. Naishi Kinyerezi.
Sawa nipe muda kidogo , nitaulizia shule iliyo karibu na wewe kisha nitakupa mrejesho !!Nimeshaenda hospitali wakasema ni usonji, nikawa nampeleka kwa ajili ya speech therapy, ila bado hajakaa sawa, nikafikiri labda kwa shule inaweza kumsaidia maana atakuwa na wenzake kule.
Na Mimi nipo mwanza naitaji jamani shule kwajili ya mwanangu ipo moja inabei sana usafirHabari,
Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi kukua na tulijaribu kumpeleka hizi shule za kawaida ila maendeleo yake sio mazuri.