Salam wapendwa.
Naomba kujuzwa na wajuzi.
Utaratibu wa kusajili hizi blog na website pamoja online TV huko kunakoitwa TCRA.
Je, ni aina gani ya blog? (Inayojihusisha na nini?)
Je, vipi upande wa chennel ya YouTube?
Na je, vip kuhusu website?
NAOMBA KUJUZWA JAPO KWA UCHACHE