Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Ndoa ya aina hiyo huwa ni changamoto tuSijui Ni Mimi TU au vipi?
Kiukweli Sijawahi kua muumini wa long distance relationship,hasa ndoa[emoji848]
Mimi na mke wangu tulifunga ndoa ya kiserikali about 2 years ago.
Hatujawahi kuishi pamoja ni mwendo wa mikoa tofauti...
MKE akishalilia talaka mpe haraka sana,
Ukimng'ang'ania Sn anaweza hata kukuua
Uko Kuna kijamaa kinamkaza na kumdanganya aachike ili wawe huru.Ndoa ya aina hiyo huwa ni changamoto tu
Yaap kuna nyumba hapa tumejengaWee unang'ang'ania utaratibu ili iweje?
Kwani kuna Mali zozote mlichuma mkuu?
[emoji2][emoji2][emoji2]kweli hizi ndoa hewa maana mi sijawahi kufaidia ladha ya ndoa na kukaa na mke zaidi ya migogoro miaka nenda rudindoa za kuishi mbali mbali zinaitwa NDOA HEWA.
Hizo ndoa huwa hazidumu...
Aende mahakamani akaombe umpe talakaMimi na mke wangu tulifunga ndoa ya kiserikali about 2 years ago.
Hatujawahi kuishi pamoja ni mwendo wa mikoa tofauti
Kuna misunderstanding za hapa na pale tunasuluhishana maisha yanasonga mbele
Hivi karibuni mke kang'ang'ania tuvunje ndoa. Nimemwambia acheck utaratibu ukoje akadai talaka anayoitaka.
Je utaratibu wa kisheria ukoje hapo kukamilisha jambo hili.??
Na ndo nlikua nafikiria hii kitu maana yeye ndo king'ang'anizi wa talakamwambie asikupotezee muda wako
Na kukuletea usumbufu usokua wa lazma
Anataka talaka,yeye ndo afate taratibu
Utakuja kusaini tu kuhitimisha takwa lake.
Lengo la kuoa ni lipi, ikiwa mwenzi wako hauishi nae?Sijui Ni Mimi TU au vipi?
Kiukweli Sijawahi kua muumini wa long distance relationship,hasa ndoa[emoji848]
Mjukuu wangu nadhani ulisahau ule msemo wa wahenga "FIMBO YA MBALI HAIUI NYOKA".Mimi na mke wangu tulifunga ndoa ya kiserikali about 2 years ago.
Hatujawahi kuishi pamoja ni mwendo wa mikoa tofauti..