Msaada: Naomba kujuzwa zilipo Ofisi za TAKUKURU

Msaada: Naomba kujuzwa zilipo Ofisi za TAKUKURU

Joined
Aug 16, 2020
Posts
37
Reaction score
48
Habari wanajamii,

Msaada mwenye kujua Ofisi za TAKUKURU ama namba ya simu kwa Dar, muhitaji anaishi mbezi ya kimara hivyo kama zipo za karibu na yeye itakuwa vizuri zaidi!

Kwa niaba yake natanguliza shukrani!
 
Kwa mbezi kimara nenda mpaka kibamba Luguruni kuna bango kubwa linaelekeza zilipo ofisi
 
Back
Top Bottom