Madish Installers
Member
- Aug 16, 2020
- 37
- 48
Leo siku ya pili anadai akipiga hiyo namba anaambiwa haipoNamba ya bure 113
ShukraniNenda Upanga mtaa wa Milambo, karibu na Agakhan University
Kwa mbezi kimara nenda mpaka kibamba Luguruni kuna bango kubwa linaelekeza zilipo ofisiHabari wanajamii,
Msaada mwenye kujua Ofisi za TAKUKURU ama namba ya simu kwa Dar, muhitaji anaishi mbezi ya kimara hivyo kama zipo za karibu na yeye itakuwa vizuri zaidi!
Kwa niaba yake natanguliza shukrani!
Kwa Mbezi ziko Luguruni upande wa kulia Kama unakwenda Morogoro.Habari wanajamii,
Msaada mwenye kujua Ofisi za TAKUKURU ama namba ya simu kwa Dar, muhitaji anaishi mbezi ya kimara hivyo kama zipo za karibu na yeye itakuwa vizuri zaidi!
Kwa niaba yake natanguliza shukrani!