M mtwana JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 428 Reaction score 140 May 21, 2016 #1 Habari zenu wanaJ Nlikua nina shida ya mtu ambae ana Hotel ambayo anajenga au ambayo inafanya kazi hadi sasa nilitaka niwe Supplier wake wa Items
Habari zenu wanaJ Nlikua nina shida ya mtu ambae ana Hotel ambayo anajenga au ambayo inafanya kazi hadi sasa nilitaka niwe Supplier wake wa Items
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 May 22, 2016 #2 mkuu mi nadhani ungesema una bidhaa gani ili upate wateja kusema unataka kujua mwenye hotel sidhani kama ni njia nzuri ya kutangaza biashara...nina hiki napatikana sehemu fulani na vingine zaidi na zaidi..
mkuu mi nadhani ungesema una bidhaa gani ili upate wateja kusema unataka kujua mwenye hotel sidhani kama ni njia nzuri ya kutangaza biashara...nina hiki napatikana sehemu fulani na vingine zaidi na zaidi..