donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Chakula Cha Nini,mbwa mzuri huwa anakula mlo mmoja tu ,usiku anavyofunguliwa,kwa hiyo apo safari ya Dom Kama akitoka asubuhi ,sidhani Kama Kuna haha sana ya chakulaJaribu magari ya mizigo jangwani, sidhani kama watakataa, muhimu tengeneza wooden cage na chakula cha masaa kadhaa.
Ratiba za fuso hazieleweki, unaweza peleka mzigo asubuhi ukasafirishwa usiku.Chakula Cha Nini,mbwa mzuri huwa anakula mlo mmoja tu ,usiku anavyofunguliwa,kwa hiyo apo safari ya Dom Kama akitoka asubuhi ,sidhani Kama Kuna haha sana ya chakula
Nashkuru sana mkuu ngoja nijaribu hivyoJaribu magari ya mizigo jangwani, sidhani kama watakataa, muhimu tengeneza wooden cage na chakula cha masaa kadhaa.
Hahaha Apo sawa .Mimi silagi chochote mzee ,nakunywaga maji tuRatiba za fuso hazieleweki, unaweza peleka mzigo asubuhi ukasafirishwa usiku.
Wewe mbona unanunua mahindi ya kuchoma, mayai, maandazi njiani ukiwa unasafiri acha umbwa afaidi ๐๐
๐๐Safari na lori kama haitakuwa๐Hahaha Apo sawa .Mimi silagi chochote mzee ,nakunywaga maji tu