Msaada: Naomba msaada wa kupata Organization Structure ya Uganda Wildlife Authority

Msaada: Naomba msaada wa kupata Organization Structure ya Uganda Wildlife Authority

Profesa wa Maliasili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
632
Reaction score
1,910
Kama mada tajwa hapo juu inavojieleza, Ndugu zangu wa uganda naomba mwenye uelewa na Organization structure/chart ya Uganda Wildlife Authority anisaidie,Nimejaribu kuisearch google and other sites lakini sijaipata, Nitashukuru sana kama nitapata na strength na weakness za hiyo organization structure...Natanguliza shukrani.
 
Nenda kwenye website Yao pia jaribu wizara ya habari Niko Hilo waweza ipata ama waziliana na waziri wa habari
 
rwezaura.jpg
 
Back
Top Bottom