Kama mada tajwa hapo juu inavojieleza, Ndugu zangu wa uganda naomba mwenye uelewa na Organization structure/chart ya Uganda Wildlife Authority anisaidie,Nimejaribu kuisearch google and other sites lakini sijaipata, Nitashukuru sana kama nitapata na strength na weakness za hiyo organization structure...Natanguliza shukrani.