Msaada: naomba mwenye kuijua kiundani gari aina ya Toyota RAUM new model anipe dondoo kadhaa

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4,486
Reaction score
8,098
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mmoja wa watu wanaonufaika na maarifa yanayopatikana humu jukwaani.

Karibuni wataalam.

Naomba kuwasilisha.
 
Hakuna new model ya hiyo gari..zilisitishwa kuzalishwa mwaka 2002
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mmoja wa watu wanaonufaika na maarifa yanayopatikana humu jukwaani.

Karibuni wataalam.

Naomba kuwasilisha.
Raum gari gani hizo,milango yake Kama hiace daladala,halafu inakawaida ya kusumbua,

afadhali ununue premio au IST, Kama hela ni ya kuunga unga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…