Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Jan 16, 2011 #1 Habari wakuu!!:A S 27: Kupitia JF Naomba mwenye kuniwezesha Kupata Link ya free download Software ya Business-in-a-Box Pro. Ni matumaini yangu kuwa ntapata support kwa wanaJF. Asante sana!
Habari wakuu!!:A S 27: Kupitia JF Naomba mwenye kuniwezesha Kupata Link ya free download Software ya Business-in-a-Box Pro. Ni matumaini yangu kuwa ntapata support kwa wanaJF. Asante sana!
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,041 Reaction score 257 Jan 17, 2011 #2 umepata, tembelea Product reviews and prices, software downloads, and tech news - CNET utapata hiyo na zingine kibao asante, naomba nigongee kasekyuu ukifanikiwa mkuu!
umepata, tembelea Product reviews and prices, software downloads, and tech news - CNET utapata hiyo na zingine kibao asante, naomba nigongee kasekyuu ukifanikiwa mkuu!
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,041 Reaction score 257 Jan 20, 2011 #3 poa vp umefanikiwa mkuu?