Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
bei gani mkuuHapa hata mimi nitapata mawili matatu, nakakubali sana haka kapya kalikotoka kuanzia 2018. Japo bei yake imesimama sana ukijumuisha pamoja na kodi ila kananishawishi sana.
Bei gani mkuu niambie ili nijipange mdogo mdogo kukachukuabei gani mkuu
Hizo new model za suzuki Jimny bei yake ni ndefu sana.Hapa hata mimi nitapata mawili matatu, nakakubali sana haka kapya kalikotoka kuanzia 2018. Japo bei yake imesimama sana ukijumuisha pamoja na kodi ila kananishawishi sana.
Duh!!!muhamar Gadaf,
TRA pekee yake utawaachia si chini ya milioni 17 kwa hiyo ya kuanzia mwaka 2018, hapo sijamuisha na clearing fees zingine kwa wahusika wengine. Hao wengine kama bandari, wakala, n.k usipungue milioni 3 ya ki-Tanzania...
asikutishe ww tafuta hizo old model zipo nyingi tu pita maeneo ya kimara uku wengi wana zimilikiDuh!!!