Msaada: Naomba wazo la biashara

Msaada: Naomba wazo la biashara

usaifa

New Member
Joined
Aug 8, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Msaada wenu waungwana, nahitaji wazo la biashara yoyote/kitu chochote kitakacho nikiingizia faida kuanzia Tsh. 10,000/= na kuendelea.nikiwa na mtaji wa 1.5m
 
Hiyo biashara ulipanga ufanyie maeneo gani kwanza kabla sijakushauri chochote?
 
1.5 biashara ndogo ndogo ni nyingi sana
Uza mboga mboga
Uza icecream.
Uza nguo na viatu
Uza vyombo
Fungua kiduka cha mangi au banda
Biashara ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom