central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
https://www.facebook.com/Habari za jioni ndugu zangu, NATUMAINI MUWAZIMA WA AFYA.
Msaada kidogo. Naombeni mwenye video ya Nako 2 nako HAWATUWEZI ft Enika...
Asante mkuu...huu mdundo...hii beat ya P aiseee🔥🔥🔥🔥
Siredi ifungwe!!
Habari za jioni ndugu zangu, NATUMAINI MUWAZIMA WA AFYA.
Msaada kidogo. Naombeni mwenye video ya Nako 2 nako HAWATUWEZI ft Enika.
YouTube kwa sasa haipatikani,Mwenye nayo labda anayo hata kwa Pc,Simu n.k naiomba plz.
Au kama una link unaweza kunipatia nikai download.
Msada tafadhali.
ASANTENI
Humu sasa Ibrah kauwa na napenda vesi yake kuliko ya Lord Eyez.Nadhani ndio wimbo bora wa Nako 2 Nako ingawa verse za Ibra huwa hazieleweki
SureHumu sasa Ibrah kauwa na napenda vesi yake kuliko ya Lord Eyez.
Yani kamamaliza sana kanata na biti dahSure
Umemix maneno humo hatari, hiyo verse ya Ibra da hustler ni ngumu usingeweza kuielewa. NitakusaidiaSambo na thoughts, loss
That's man of experience
Flow hili reverend kwa frequency, draw
Ni kama Runda na defence
Ona difference ya illness na fakeness
Kick na snare, na evidence
Na-spit sense, future participle tense
Collabo la 50 cents
Fake emcees wana-spit nonsense
Hawa make sense, hii kwao ni rough sentence
Nawaua mi kila sentence
Hence, nakanyaga clutch, na-change gear na pace
Ka ace, hence mpaka classic
Sht world cup, park ya Jurassic
Wasanii mnaleta traffic
Siwaafiki, nyie wanafiki
Nawameza ka meli ya Antlantic
Need a hustler, niko maabara
Trap star viagara, muadhara
Haha asante chief,bars mbili hapo ni keyboard tu ime mess up,ila nyingineee sikua nasikia vizuri,out of 10 nimepata ngapiUmemix maneno humo hatari, hiyo verse ya Ibra da hustler ni ngumu usingeweza kuielewa. Nitakusaidia
Flow hili reverend kwa frequency, draw✖️
Flow hii deliverence kwa frequency, blow ✔️
Ni kama runda na defence✖️
Ni kama loon ndani dface(graffiti)✔️
Hii kwao ni rough sentence ✖️
Hii kwao ni life sentence ✔️
Na-change gear na pace✖️
Na-change gear na-press✔️
Need a hustler, niko maabara✖️
Ni da huslter, niko maabara ✔️
Trap star viagara✖️
Tracks ka Viagra✔️
5/10Haha asante chief,bars mbili hapo ni keyboard tu ime mess up,ila nyingineee sikua nasikia vizuri,out of 10 nimepata ngapi
Naijua Ali spit kipindi yupo kenya ukoo flani mau mau,nahisi hata ngoma inaitwa hivyo hivyo ukoo Fulani5/10
Hiyo verse alikua nayo muda mrefu anatembea nayo anatafutia wimbo wa kuipachika ndio ikatokea hiyo ya hawatuwezi. sasa hivi bila back vocal sidhani kama anaikumbuka yote
Alikua tayari nako 2 nako, hiyo ni wimbo wa hawatuweziNaijua Ali spit kipindi yupo kenya ukoo flani mau mau,nahisi hata ngoma inaitwa hivyo hivyo ukoo Fulani