Subiri mkuu,itakuja kwa kasi sanakipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki.
Usiwe na haraka itatoka tuu kuna muda mwingine tuziache hormone zifanye kazi zenyewe maana sometime hali ya hewa au chakula au bacteria huweza kuchelewesha mp lakini tulia kwa sasa mpk itakapotoka yenyewe bila kulazimishakipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki.