Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama maandazi ya kawaida ila badili ya kuyaweka kwenye mafuta unaweka kwenye oven. Ila unapaka mafuta kidogo kwa juu na chini ili yasigande kwenye karai la kuchomeaHabarini wandugu.
Naombeni msaada jinsi ya kupika maandazi ya oven:
Asanteni;
😃😃Tangu 2018Hiyo hamu ya maandazi ya oven bado ipo tu?