Anikajema JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 644 Reaction score 558 Aug 18, 2018 #1 Habarini wandugu. Naombeni msaada jinsi ya kupika maandazi ya oven: Asanteni;
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 Jan 21, 2025 #2 Swali limekosa jibu
Kaory JF-Expert Member Joined Jun 7, 2022 Posts 537 Reaction score 1,114 Jan 23, 2025 #3 Anikajema said: Habarini wandugu. Naombeni msaada jinsi ya kupika maandazi ya oven: Asanteni; Click to expand... Ni kama maandazi ya kawaida ila badili ya kuyaweka kwenye mafuta unaweka kwenye oven. Ila unapaka mafuta kidogo kwa juu na chini ili yasigande kwenye karai la kuchomea
Anikajema said: Habarini wandugu. Naombeni msaada jinsi ya kupika maandazi ya oven: Asanteni; Click to expand... Ni kama maandazi ya kawaida ila badili ya kuyaweka kwenye mafuta unaweka kwenye oven. Ila unapaka mafuta kidogo kwa juu na chini ili yasigande kwenye karai la kuchomea
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Jan 23, 2025 #4 Hiyo hamu ya maandazi ya oven bado ipo tu?
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,041 Reaction score 46,239 Jan 24, 2025 #5 Makorokoro Bondeni said: Hiyo hamu ya maandazi ya oven bado ipo tu? Click to expand... 😃😃Tangu 2018