Msaada, naombeni kueleweshwa utaratibu wa kubadilisha jina kwenye line ya tigopesa, namaanisha jina la wakala

kiri12

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
638
Reaction score
558
Habari wanajamvi jamani, tafadhali mwenye kujua ama kufahamu ni jinsi gani ya kubadilisha jina katika line ya uwakala wa tigo pesa, ni vitu gani unatakiwa uwe navyo ili wakala mkuu aweze kubadilisha jina?
 
Tin number pamoja na lesen yako , kitambulisho kinachojulikana na serikali afu mpelekee wakala mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…