Msaada naombeni mawasiliano katika chuo cha eckenford cha tanga

Msaada naombeni mawasiliano katika chuo cha eckenford cha tanga

kkkt

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
364
Reaction score
115
Habari! Nimeskia kwamba chuo tajwa hapo juu wanatoa diploma hata kwa mwalim idara ya msingi sasa mimi inanichanganya kwakua kuna watu wanasoma hiyo kitu ila nikiwauliza baathi ya maswali wanashindwa sasa naomba mwenye anajua mawasiliano ya hao jamaa niwaulize kwa undani kidogo ili nianze kujiendeleza kama itanishawishi!!! Najtahdi kuandika ila ivyoivyo mi simtaalam sana wakuandika ahsante
 
Back
Top Bottom