MSAADA: Naombeni mnisaidie dawa ya jini kuuma

Kaling'oe heri pengo kuliko jino bovu!usipende maumivu mkuu!hayana faida!
 
Kwasasa chukua maji ya vugu vugu weka na chumvi na kitunguu swaumu sukutua kidogo mara tatu baada ya dkk 5 tu litapoa mkuu
 
Pole sana mkuu,hilo jino litakuwa limezibwa vibaya rud hospital wakalitazame coz me nishawah zibaga halikunisumbua na mpka Leo lipo pouwah
 
Kuna dawa ya meno aka ya kuswaki inaitwa bright inasaidia sana hasa meno yaliyotoboka yanayouma.

Pole sana mkuu itafute itakusaidia.
 
Tafuna punje za karafuu yatapoa lakini baadae uende kumuona Dr kwa uchunguzi zaidi
 
Pole sana mkuu,hilo jino litakuwa limezibwa vibaya rud hospital wakalitazame coz me nishawah zibaga halikunisumbua na mpka Leo lipo pouwah
Ndo naenda kesho hasubuhi
 
Pole sana mkuu,hilo jino litakuwa limezibwa vibaya rud hospital wakalitazame coz me nishawah zibaga halikunisumbua na mpka Leo lipo pouwah
Ni swala la muda tu, hilo jino litakusumbua na utaenda kulitoa
 
Ninavyofahamu jino likikuuma sawasawa hutataka ushauri wa wala nini.

Unanyoosha hospital moja kwa moja kwenda kuling'oa.
 
Nunua karafuu utafune halafu urudi hapa utoe ushuhuda,nenda maduka ya viungo vya vyakula utaipata hiyo karafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…