Mfuatiliaji
Senior Member
- Jun 5, 2008
- 153
- 33
Tafuta kitabu cha Dk. David Wener, kitabu chake kiitwacho "Mahali pasipo na Daktari" Labda kinaweza kukusaidia. (Sina uhakika sana)jamani wapenda ninatafuta vyitabu au makala kwa ajili ya kujua mambo ya mama mjamzito kwa sasa nina ujauzito wa miezi 2 ila nataka nitape vyitabu ili niweze kutunza mimba vizuri kwanini naamini mtoto nitakaye mzaa atakuwa mwanamapinduzi hapa kwa mwenye maelezo yoyeto ya jinsi ya mama mjamazito anatakiwa kula kutunza mimba please nitumie japo nisome naamini itasaidia na wengine. naombeni vyitabu vya kiswahili. kulala na mambo yote muhimu akinipa nitamshukuru