STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 73
acha kuchinja kukuJe, nifanyeje ili kuepuka tatizo hili la ganzi linaponitokea?
Msaada wajameni; imekuwa ikinitokea mara kadhaa hii hali ya kupata ganzi miguuni pindi napochinja kuku.
Nashindwa kuelewa kuwa hii ni hali ya kawaida au ni kwangu tu. Na je, kipi kinafanya hii hali inatokea kwangu?
Je, nifanyeje ili kuepuka tatizo hili la ganzi linaponitokea?
Karibuni kwa ushauri wakuu

Nafikiri inatokeaga tuu mim imenitokea Jana sasa wew hio ya Mara kwa mara sijui BT kwakua ile ni roho may be kuna kitu ambacho hatukijuiMsaada wajameni; imekuwa ikinitokea mara kadhaa hii hali ya kupata ganzi miguuni pindi napochinja kuku.
Nashindwa kuelewa kuwa hii ni hali ya kawaida au ni kwangu tu. Na je, kipi kinafanya hii hali inatokea kwangu?
Je, nifanyeje ili kuepuka tatizo hili la ganzi linaponitokea?
Karibuni kwa ushauri wakuu
Yap labda kuna kitu tusubir mtaalam atujibieDuuuh aisee dunia hii mi nlidhani inantokea mimi peke yangu kumbe nna pacha wangu.Mi hata sijawahi kumueleza mtu yeyote lakn huwa inantatiza sana