miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Habari wapendwa? Naombeni msaada nitumie dawa gani ili niache kublid maana toka nichome sindano nablid tu, nikipumzika ni siku 2 nablid tena yani bila mpangilio
Naweza nikawa nimetoka zangu sina hili wala lile ghafla damu zinatoka pia nakosa na hisia za kufanya mapenzi siyo kama mwanzo kabla sijachoma. Msaada tafadhali anayefahamu dawa inayoweza kunisaidia nikawa sawa.