miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Mtaalamu kamaliza, ila inaogopesha sanaWatanzania hua tunajiingiza katk baadh ya mambo bila kuyajua kiundani, nasema ivo sababu izo depo provera ipo wazi zina side iffect na kwa bahat mbaya ivyo vituo vya afya mnashnikizw kupew bila kuchunguzwa kama itakufaa. Kiufupi ayo ni moja ya madhara ya kutumia depo yapo meng mfano baada ya kuacha kuna watu husumbuka kupata ujauzito au kutopata kabisa. Izo dawa zina synthetic hormone inayozuia mayai ya kike kupevuka kwaiyo unapozid kuchoma iyo sindano huenda mayai yakawa hayawez pevuka maisha yako yote japo utapat heth. Pia moja ya madhara makubwa ya izo dawa ni bones osteoporosis niishie apo kwa manufaa ya wengne ila kwa wew rud kwa dactar wako pia muombe ujue WINGI WA DAMU YAKO
Inatisha.Watanzania hua tunajiingiza katk baadh ya mambo bila kuyajua kiundani, nasema ivo sababu izo depo provera ipo wazi zina side iffect na kwa bahat mbaya ivyo vituo vya afya mnashnikizw kupew bila kuchunguzwa kama itakufaa. Kiufupi ayo ni moja ya madhara ya kutumia depo yapo meng mfano baada ya kuacha kuna watu husumbuka kupata ujauzito au kutopata kabisa.
Izo dawa zina synthetic hormone inayozuia mayai ya kike kupevuka kwaiyo unapozid kuchoma iyo sindano huenda mayai yakawa hayawez pevuka maisha yako yote japo utapat heth. Pia moja ya madhara makubwa ya izo dawa ni bones osteoporosis niishie apo kwa manufaa ya wengne ila kwa wew rud kwa dactar wako pia muombe ujue WINGI WA DAMU YAKO
Ndo ivo kaka mkubwa kuna vitu wanawake wanafanya adi unashangaa anatafuta nn hasa, apo ukimuuliza aliweka ivo ili iwaje jibu ni ili mpenz wake amkaze mda wowote atakao asishke mimba. Sasa mtu kama huyo manaake hajui y yupo ktk mahusiano. Vinginevyo ni malayaInatisha.
Na wengine hufikia kufanya hivyo just kuwafurahisha mabwana zao ambao hawana hata lengo la kuwaoa,ni kusema wanajitia ubovu siku akijichanganya kijana innocent hajui lolote anabeba zigo miaka 15 hata mimba ya kusingiziwa hamna.