Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula bamia Kama huzipend sagga kama juice afu unywe,pia unaweza kununua vidonge vinaotwa joints supportHabar zenu
Nina miaka 25 Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili la magoti zaid ya miez sita sasa nimetumia dawa mbali mbali za maabara sijapata nafuu nimepanda jukwaani naombeni ushauri kwa wataalamu wanaofahamu dawa za asili au za maabara ,kwenu wakuu
Kazi zako ni za kusimama mda. Mrefu AAU kukaa mda mrefu?Habar zenu
Nina miaka 25 Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili la magoti zaid ya miez sita sasa nimetumia dawa mbali mbali za maabara sijapata nafuu nimepanda jukwaani naombeni ushauri kwa wataalamu wanaofahamu dawa za asili au za maabara ,kwenu wakuu
Magonjwa mengi ya viungo,mishipa, misuli, mifupa, joints yanatokana na matatizo ya kifamilia na kiukoo kutokana na mila na desturi zenu za mazindiko na matambiko ya kutoa viungo vya wanyama kwa mizimu! Hayo ndo matokeo!
Pole Sana mungu atakujaalia utapona Tu Kwa uwezo wakeHabar zenu
Nina miaka 25 Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili la magoti zaid ya miez sita sasa nimetumia dawa mbali mbali za maabara sijapata nafuu nimepanda jukwaani naombeni ushauri kwa wataalamu wanaofahamu dawa za asili au za maabara ,kwenu wakuu
Tafuta gome la mkorosho ,mzambarau,mprachichi, mwembe chemsha kunywa asbh na jioni kikombe cha chai alafu kama unapenda kula nyama nyekundu ziache kabisa baada ya hapo tengeneza mazingira ya kuwa unapata supu ya bamia kila siku walau siku saba utanishukuruKusimama mda mrefu ila sio masaa zaid ya 8
Tafuta gome la mkorosho ,mzambarau,mprachichi, mwembe chemsha kunywa asbh na jioni kikombe cha chai alafu kama unapenda kula nyama nyekundu ziache kabisa baada ya hapo tengeneza mazingira ya kuwa unapata supu ya bamia kila siku walau siku saba utanishukuru
PamojaNashukuru sanaa mkuu
Pharmacy unapataPamoja sanaa hvyo vidonge ni changamoto kuvipata