Msaada: Napata muwasho sehemu ya siri

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu,

Nahisi muwasho hasa kwenye korodani na nadhani ni 'fangasi'.

Kama nipo sahihi nini tiba yake?
 
nenda pharmacy, dawa zipo nyingi, safisha choo unayotumia, fua boxer yako kila siku, usitembee na wanawake wachafu.
Aksante mkuu nimekuelewa. Kwa hiyo hata panado inatibu?
 
Jaribu kutumia cream inaitwa sonaderm paka kutwa mara tatu muwasho ukizdi muone daktari
 
Wakuu, nahisi muwasho hasa kwenye korodani na nadhani ni 'fangasi'. Kama nipo sahihi nini tiba yake?
Suala la fungus ndugu yangu ni tata.

Nenda hospita kufanya test wajue ni aina gani ya fungus na dawa gani inatibu.

Vinginevyo utatumia dawa nyingi bila kupata nafuu.

Nilifanya uchunguzi aina nne za dawa zikaonekana hazitatibu nikapata dawa (sina jna) katika sindano 12 yaani 1x2x6 ndipo nikapona.

Wahi ukafanye test.
 
Katafute Daktacort Cream ila maduka mengi hauzwi, kama uko Dar, nenda manzese Darajani ukishuka tu pale ukitoe ubungo, angalia upande wako kuna Duka pale kwenye ghorofa zipo.

Shekilango kuna Duka la Alafa mkabala na ile hoteli, na maduka mengi ya Sinza wanauza. Ila jaribu pia kuulizia maeneo unaishi hasa maduka makubwa, hii ukipaka tu muwasho utakoma kabla hujapaka siku ya pili, hii itatuliza tatizo haraka sana wakati unajiandaa kumuona Daktari, bei 12,000 mpaka 13,000.
 
Poa mkuu.
 
pole sana, usitembee na wenye k..a pana sana maana unakuta hizo korodani nazo zinazama ndani matokeo yake zinapata majimaji ya ukeni yenye muwasho
 
pole sana, usitembee na wenye k..a pana sana maana unakuta hizo korodani nazo zinazama ndani matokeo yake zinapata majimaji ya ukeni yenye muwasho
Nitawatambuaje mkuu? πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Paracetamol haitibu fangas iyo ni antipain kwa ajili ya kupunguza maumivu dawa za fangas zipo za aina nying ila vzur ukazingatia usafi wa nguo zako za ndan kama ulivoambiwa hapo juu pia ukioga hakikisha unajifuta maji vzur kuepusha unyevu unyev
Ila pole utapona mkuu ukishaanza matibabu
 
Japo kupima ni muhimu ili ujue una aina gani ya fungus na dawa utumie ipi hasaaa.
 
nenda pharmacy, dawa zipo nyingi, safisha choo unayotumia, fua boxer yako kila siku, usitembee na wanawake wachafu.
xema usirudie kuvaa boxer mara mbili;yaan uvae mara moja den change,ukisema fua boxer kila ck hy imekuwa chupi;mf mm cfui boxer kila ck navaa zaid ya mwez ndo nafua kuz nina boxer zaid ya50;!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…