Jamani,
Kuanzia January mpka leo napata period for two days. Na ni kidogo sio kama ilvyokuwa mwanzo. Je, ni kawaida? Mwanzoni nilikuwa napata for four days au siku nyingine siku tatu. I am scared, sjui ni hali ya kawaida au vipi. Wanawake wa JF na JF doctors please nisaidieni. Na hii imeanza baada ya kuanza kutumia pads za Tasly, je, kuna connection yoyote kweli?