Duh umenikumbusha mbali nilikuwa nacho sijui nani amekiazima wala hakurudisha.Habari za mihangaiko ndugu.
Kuna kitabu cha "Birds of East Africa" kwa yeyote mwenye nacho ama anajua naweza kukipataje (kiwe soft copy).
Hicho pamoja na wild flowers of east africaKizuri sana.