Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Chakula unachokula nani anakupikia?
Badirisha chakula au kula chakula unachopenda usilishwe chakula Cha kupikwa ovyo ovyo ukiweza pika mwenye, hio ni moja na chakula kiwe balanced diet, usiweke chumvi nyingi
Pili tumia tangawizi, kata tafuna kunywa na maji vuguvugu, tangawizi ni anti-inflammatory yaan km unahisi maumivu yenye inakata yale maumivu, pia tumia binzari manjano chuja kwenye maji vuguvugu kunywa ni anti-inflammatory pia inasaidia, baada ya wiki utakua umepona maumivu yatakua yameisha yenyewe
Nakwambia tiba nna uhalisia nao,
Sasa hivi maumivu yameamia upande wa kulia kama nachomwa kisu, au nakandamizwa, au napigwa na chuma,
Hapa jitahidi kila asubuhi unapoamka unakunywa maji yaliyochanganywa na baking soda nusu kijiko cha chakula changanya glass 1 ya maji kunywa kabla hujala kitu chochote yàan ukitoka kuamka tu,
Huu upande wa kulia ukihisi maumivu kwa nyuma hii sehemu ni eneo la Ini hivyo unaposikia maumivu maana yake ini lako linapambana kuondoa sumu zilizolundika mwilini wako
Hii inamaanisha kwamba mwili wako unaujaza sumu zinazo enda moja kwa moja kila sehemu ya mwili alafu ini linaamua kupambana kuziondoa hizo sumu, unakula nini mkuu kinachoangamiza mwili wako energy drinks? Maana unaujaza sumu mwili wako bila sababu za msingi
Kingine kua na Imani, amini kwamba utapona
acid reflux limekua ni tatizo la wengi sana, ugonjwa unaoumwa unaitwa
Gastroesophageal reflux disease, Mimi sio mbobevu kwenye hii taaluma Ila kwa maelezo yako tumia hizo home remedy labda zitakusaidia pia uamini utapona nna hakika ukitumia hizo home remedy utapata nafuu na ikiwezekena utapona kabisa
Cha kuongezea:
Hakikisha ukishakula haulali yaan hili tatizo huwapata watu ambao yeye akimaliza kula basi hapo hapo anaingia kulala
Hakikisha hauli chakula ukavimbiwa yaan ukala chakula likajaa kupitiliza ingawa pia kwa namna nyingine ni tiba (nitakuelekeza)
Hakikisha haunywi maji mengi baada ya kutoka kula, yaan baada ya kula vuta mda at least saa 1 au 1 na nusu ndio unywe maji na unywe maji kiasi sio maji mengi
Kingine kinachosababisha maumivu hayo ni makemikali yaan km ukilamba kemikali fulani labda unatumia kipodozi fulani ukajisahau kwa bahati mbaya ukapakaa mdomoni kikaenda tumboni ndio shida inaanza hapo mfumo wa usagaji chakula unapata shida
Kufacilitate usagaji wa chakula tumboni tumia Pilipili (mwingine atasema vinaleta vidonda vya tumbo) hapana ili kufacilitate digestion itake place kula Pilipili siku ya kwanza itasumbua Ila siku ya pili utakaa sawa,
Kingine Cha kuongezea, wenye tatizo hili mara nyingi hukosa Choo hata wiki au zaidi kwa hio takataka (kinyesi) zinakua zimejirundika tumboni haziendi kwenye utumbo mpana wala utumbo mdogo ndio zinazokupa maumivu hayo unayoyasikia, kwa hio unazitoaje sasa?
Andaa chakula unachokipenda km wali Samaki au ndizi au chochote, pika ivisha epua kula kikiwa Cha Moto kabisa hakikisha umekula kikiwa Cha Moto hivyo hivyo usikipooze kula mpaka ushibe kabisa yaan useme hapa siwezi kuendelea niliendelea nitatapika
Baaada ya hapo subiri mrejesho utapata choo baada ya kupata choo rudia hatua ya awali tumia home remedy hizo nilizokutajia, within one week utakua sawa menu hakikisha unakula unashiba sio unaonja kula ushibe hadi jasho likutoke