Pole sana mkuu.. Jaribu kwenda hospitali kubwa onana na maspecialist ikiwezekana fika JKCI kwa uchunguzi zaidi, usipuuzie..Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa.kwa mbali panafanya kama uvimbe.hali Ile nimesumbuka hsp bila msaaada...
Asante sana nitafanya hivyoPole sana mkuu.. Jaribu kwenda hospitali kubwa onana na maspecialist ikiwezekana fika jkci kwa uchunguzi zaidi, usipuuzie..
Duuhh pole Mkuu, kwahiyo maumivu wakati gani yanakuwa makali na yasambaa kuelekea wapi?Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe...
Maumivu ya kifua yanaweza kutokana na kitu chochote kuanzia kwenye ngozi ya kifua/mbele mpaka unapotoka kwenye ngozi nyuma ya kifua/mgongo.Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe...
Pole sana. Ushauri wangu: Kufanyiwa vipimo kama ECO, ECG mara moja tena hospital moja na kikaonyesha huna tatizo usiamini sana.Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaaada wowote napewa dawa za maumivu sababu vipimo nilivyopima ni Echo na ECG Navyo nimeambiwa viko normal kabisa...
Chief,Probability kubwa ya Namna anavyoeleza Mleta mada Nashawishika kuwa ni (CCP) Lakini Tukumbuke ECG,ECHo haziko effective kwenye Ku peak IHD esp Angina kwa sababu ni Pathological error na sio disease....Cardiac biomarkers ni Effective zaidi kwenye kuzi peak IHD na kuzitofautisha whether is angina pekee ama ime complicate kuwa MI....Though detailed history inahotajika pia....Though kwa GERD pia its PossibleSasa sikia nikuambie Maumivu ya Kifua yanaweza kua yale yatokanayo na
1/ Moyo yaan Cardiac Chest Pain (CCP). ,haya kisababishi ni Moyo,, na kwakua ulipoenda tayari wame rule out possible cardiac causes Kwa Echo na ECG ,ulitakiwa ufanye Vipimo vingine vinavyoangalia [emoji116][emoji116]
2/Yasiyotokana na Moyo yaan Noncardiac Chest Pain ( NCCP)... Haya maumivu Mara nyingi husababishwa na Shida ya KOO LA CHAKULA na wengi huwa na shida ya Gastro-Oesophageal Reflux Disease (GERD) , Ingawa pia matatizo haya ya NCCP yapo mbalimbali kama vile Msongo sugu wa mawazo , hypersensitivity kwenye Koo la Chakula, Maambukizi, Spasms n.k
Mara nyingi watu wenye Uzito mkubwa, wavuta sigara, pombe ,watumishi sugu wa dawa za panado na NSAIDs ndio hupata sana shida hii ya maumivu ya NCCP .
Wagonjwa wengi ,hulalamika maumivu ya kuchoma, kama kitu kimekalizwa kifuani mwao , maumivu yanayosambaa kwenye shingo, beg la kushoto ,mgongon, Kiungulia, Maumivu wakati wa kumeza , na Ile hali ya kua anacheua cheua. N.k.
Kwa kusema Ivo ilipaswa hapo ulipopimwa ECG na Echo wakuunganishe Kwa watu wa Gastroenterology ili waweze ku rule out NCCP.
Kwa lugha nyingine unatakiwa ufanyiwe
Oesophagoscopy
Oesopgageal manometry kuangalia motility yake
N.k kutegemea na watakavyofikia kwenye fikra zao za kitaalam kulingana na Dalili zako .
Wakati Huu , waweza nunua ..
Antacid 10mls , unywe Kila baada ya Masaa 8 Kwa siku 5 .
Vidonge aina ya Omeprazole 20mg unywe Kila Masaa 12 Asubuhi jioni ...... Fanya ivi Kwa siku 3-5 , ukiona maumivu yanapungua basi una GERD.
Utarudi humu, unipe mrejesho ,tuone hatua inayofuata .!!.
HOSP NI MUHIMU, UENDE BABU!!.
Pole SANA NduguNina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaaada wowote napewa dawa za maumivu sababu vipimo nilivyopima ni Echo na ECG Navyo nimeambiwa viko normal kabisa.
Sasa hivi maumivu yameamia upande wa kulia kama nachomwa kisu, au nakandamizwa, au napigwa na chuma, x ray pia nimepiga hamna kitu.
Nisaidieni mawazo ndugu zangu nateseka.
Sawasawa 👍👍Sasa sikia nikuambie Maumivu ya Kifua yanaweza kua yale yatokanayo na
1/ Moyo yaan Cardiac Chest Pain (CCP). ,haya kisababishi ni Moyo,, na kwakua ulipoenda tayari wame rule out possible cardiac causes Kwa Echo na ECG ,ulitakiwa ufanye Vipimo vingine vinavyoangalia 👇👇
2/Yasiyotokana na Moyo yaan Noncardiac Chest Pain ( NCCP)... Haya maumivu Mara nyingi husababishwa na Shida ya KOO LA CHAKULA na wengi huwa na shida ya Gastro-Oesophageal Reflux Disease (GERD) , Ingawa pia matatizo haya ya NCCP yapo mbalimbali kama vile Msongo sugu wa mawazo , hypersensitivity kwenye Koo la Chakula, Maambukizi, Spasms n.k
Mara nyingi watu wenye Uzito mkubwa, wavuta sigara, pombe ,watumishi sugu wa dawa za panado na NSAIDs ndio hupata sana shida hii ya maumivu ya NCCP .
Wagonjwa wengi ,hulalamika maumivu ya kuchoma, kama kitu kimekalizwa kifuani mwao , maumivu yanayosambaa kwenye shingo, beg la kushoto ,mgongon, Kiungulia, Maumivu wakati wa kumeza , na Ile hali ya kua anacheua cheua. N.k.
Kwa kusema Ivo ilipaswa hapo ulipopimwa ECG na Echo wakuunganishe Kwa watu wa Gastroenterology ili waweze ku rule out NCCP.
Kwa lugha nyingine unatakiwa ufanyiwe
Oesophagoscopy
Oesopgageal manometry kuangalia motility yake
N.k kutegemea na watakavyofikia kwenye fikra zao za kitaalam kulingana na Dalili zako .
Wakati Huu , waweza nunua ..
Antacid 10mls , unywe Kila baada ya Masaa 8 Kwa siku 5 .
Vidonge aina ya Omeprazole 20mg unywe Kila Masaa 12 Asubuhi jioni ...... Fanya ivi Kwa siku 3-5 , ukiona maumivu yanapungua basi una GERD.
Utarudi humu, unipe mrejesho ,tuone hatua inayofuata .!!.
HOSP NI MUHIMU, UENDE BABU!!.
.na ujinga wetu wote kwenye jukwaa Letu la kimasikhara ila nakukubali mwamba kwenye maswala muhimu ya kujenga unatia mchango wako... mungu akuzidishie Kila kheri mkuuSasa sikia nikuambie Maumivu ya Kifua yanaweza kua yale yatokanayo na
1/ Moyo yaan Cardiac Chest Pain (CCP). ,haya kisababishi ni Moyo,, na kwakua ulipoenda tayari wame rule out possible cardiac causes Kwa Echo na ECG ,ulitakiwa ufanye Vipimo vingine vinavyoangalia [emoji116][emoji116]
2/Yasiyotokana na Moyo yaan Noncardiac Chest Pain ( NCCP)... Haya maumivu Mara nyingi husababishwa na Shida ya KOO LA CHAKULA na wengi huwa na shida ya Gastro-Oesophageal Reflux Disease (GERD) , Ingawa pia matatizo haya ya NCCP yapo mbalimbali kama vile Msongo sugu wa mawazo , hypersensitivity kwenye Koo la Chakula, Maambukizi, Spasms n.k
Mara nyingi watu wenye Uzito mkubwa, wavuta sigara, pombe ,watumishi sugu wa dawa za panado na NSAIDs ndio hupata sana shida hii ya maumivu ya NCCP .
Wagonjwa wengi ,hulalamika maumivu ya kuchoma, kama kitu kimekalizwa kifuani mwao , maumivu yanayosambaa kwenye shingo, beg la kushoto ,mgongon, Kiungulia, Maumivu wakati wa kumeza , na Ile hali ya kua anacheua cheua. N.k.
Kwa kusema Ivo ilipaswa hapo ulipopimwa ECG na Echo wakuunganishe Kwa watu wa Gastroenterology ili waweze ku rule out NCCP.
Kwa lugha nyingine unatakiwa ufanyiwe
Oesophagoscopy
Oesopgageal manometry kuangalia motility yake
N.k kutegemea na watakavyofikia kwenye fikra zao za kitaalam kulingana na Dalili zako .
Wakati Huu , waweza nunua ..
Antacid 10mls , unywe Kila baada ya Masaa 8 Kwa siku 5 .
Vidonge aina ya Omeprazole 20mg unywe Kila Masaa 12 Asubuhi jioni ...... Fanya ivi Kwa siku 3-5 , ukiona maumivu yanapungua basi una GERD.
Utarudi humu, unipe mrejesho ,tuone hatua inayofuata .!!.
HOSP NI MUHIMU, UENDE BABU!!.
Nenda IndiaNina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaaada wowote napewa dawa za maumivu sababu vipimo nilivyopima ni Echo na ECG Navyo nimeambiwa viko normal kabisa.
Sasa hivi maumivu yameamia upande wa kulia kama nachomwa kisu, au nakandamizwa, au napigwa na chuma, x ray pia nimepiga hamna kitu.
Nisaidieni mawazo ndugu zangu nateseka.
Chakula unachokula nani anakupikia?Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Hapa jitahidi kila asubuhi unapoamka unakunywa maji yaliyochanganywa na baking soda nusu kijiko cha chakula changanya glass 1 ya maji kunywa kabla hujala kitu chochote yàan ukitoka kuamka tu,Sasa hivi maumivu yameamia upande wa kulia kama nachomwa kisu, au nakandamizwa, au napigwa na chuma,
me hii yakifua kuuma nlifanya vipimo vyote fresh ilinsaidia omeprazoleSasa sikia nikuambie Maumivu ya Kifua yanaweza kua yale yatokanayo na
1/ Moyo yaan Cardiac Chest Pain (CCP). ,haya kisababishi ni Moyo,, na kwakua ulipoenda tayari wame rule out possible cardiac causes Kwa Echo na ECG ,ulitakiwa ufanye Vipimo vingine vinavyoangalia [emoji116][emoji116]
2/Yasiyotokana na Moyo yaan Noncardiac Chest Pain ( NCCP)... Haya maumivu Mara nyingi husababishwa na Shida ya KOO LA CHAKULA na wengi huwa na shida ya Gastro-Oesophageal Reflux Disease (GERD) , Ingawa pia matatizo haya ya NCCP yapo mbalimbali kama vile Msongo sugu wa mawazo , hypersensitivity kwenye Koo la Chakula, Maambukizi, Spasms n.k
Mara nyingi watu wenye Uzito mkubwa, wavuta sigara, pombe ,watumishi sugu wa dawa za panado na NSAIDs ndio hupata sana shida hii ya maumivu ya NCCP .
Wagonjwa wengi ,hulalamika maumivu ya kuchoma, kama kitu kimekalizwa kifuani mwao , maumivu yanayosambaa kwenye shingo, beg la kushoto ,mgongon, Kiungulia, Maumivu wakati wa kumeza , na Ile hali ya kua anacheua cheua. N.k.
Kwa kusema Ivo ilipaswa hapo ulipopimwa ECG na Echo wakuunganishe Kwa watu wa Gastroenterology ili waweze ku rule out NCCP.
Kwa lugha nyingine unatakiwa ufanyiwe
Oesophagoscopy
Oesopgageal manometry kuangalia motility yake
N.k kutegemea na watakavyofikia kwenye fikra zao za kitaalam kulingana na Dalili zako .
Wakati Huu , waweza nunua ..
Antacid 10mls , unywe Kila baada ya Masaa 8 Kwa siku 5 .
Vidonge aina ya Omeprazole 20mg unywe Kila Masaa 12 Asubuhi jioni ...... Fanya ivi Kwa siku 3-5 , ukiona maumivu yanapungua basi una GERD.
Utarudi humu, unipe mrejesho ,tuone hatua inayofuata .!!.
HOSP NI MUHIMU, UENDE BABU!!.
Acha kunywa EnergyNina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaaada wowote napewa dawa za maumivu sababu vipimo nilivyopima ni Echo na ECG Navyo nimeambiwa viko normal kabisa.
Sasa hivi maumivu yameamia upande wa kulia kama nachomwa kisu, au nakandamizwa, au napigwa na chuma, x ray pia nimepiga hamna kitu.
Nisaidieni mawazo ndugu zangu nateseka.
Huyu tatizo lake itakua ni hili mkuu, hii issue itakua ni acid refluxYasiyotokana na Moyo yaan Noncardiac Chest Pain ( NCCP)... Haya maumivu Mara nyingi husababishwa na Shida ya KOO LA CHAKULA na wengi huwa na shida ya Gastro-Oesophageal Reflux Disease (GERD) , Ingawa pia matatizo haya ya NCCP yapo mbalimbali kama vile Msongo sugu wa mawazo , hypersensitivity kwenye Koo la Chakula, Maambukizi, Spasms n.k
Mara nyingi watu wenye Uzito mkubwa, wavuta sigara, pombe ,watumishi sugu wa dawa za panado na NSAIDs ndio hupata sana shida hii ya maumivu ya NCCP .
Wagonjwa wengi ,hulalamika maumivu ya kuchoma, kama kitu kimekalizwa kifuani mwao , maumivu yanayosambaa kwenye shingo, beg la kushoto ,mgongon, Kiungulia, Maumivu wakati wa kumeza , na Ile hali ya kua anacheua cheua. N.k.
Kwa kusema Ivo ilipaswa hapo ulipopimwa ECG na Echo wakuunganishe Kwa watu wa Gastroenterology ili waweze ku rule out NCCP.
Kwa lugha nyingine unatakiwa ufanyiwe
Oesophagoscopy
Oesopgageal manometry kuangalia motility yake
N.k kutegemea na watakavyofikia kwenye fikra zao za kitaalam kulingana na Dalili zako .
Wakati Huu , waweza nunua ..
Antacid 10mls , unywe Kila baada ya Masaa 8 Kwa siku 5 .
Vidonge aina ya Omeprazole 20mg unywe Kila Masaa 12 Asubuhi jioni ...... Fanya ivi Kwa siku 3-5 , ukiona maumivu yanapungua basi una GERD.
Utarudi humu, unipe mrejesho ,tuone hatua inayofuata .!!.
HOSP NI MUHIMU, UENDE BABU!!.
Kazi yako ni nini? Risk factor zipo mingi, pole sana.Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaaada wowote napewa dawa za maumivu sababu vipimo nilivyopima ni Echo na ECG Navyo nimeambiwa viko normal kabisa.
Sasa hivi maumivu yameamia upande wa kulia kama nachomwa kisu, au nakandamizwa, au napigwa na chuma, x ray pia nimepiga hamna kitu.
Nisaidieni mawazo ndugu zangu nateseka.
Kiwanda Cha nguo Cha wachina kitengo Cha kudilute chemical kwenda H2O na PH isizidi 8Kazi yako ni nini? Risk factor zipo mingi,pole sana
Pitia comment ya member Carlos The JackalKiwanda Cha nguo Cha wachina kitengo Cha kudilute chemical kwenda H2O na PH isizidi 8