frem zero
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 595
- 875
Wakuu habari.
Jamani wiki iliyopita nilipata muwasho sehemu za siri usio wa kawaida. Muwasho huo uliambatana na uchafu wa rangi ya maziwa uliofanana na mtindi lakini haukuwa na harufu. Yaani niliwashwa hadi nikapata michubuko na nunu ikavimba.
Nikakimbilia hospitali. Nilimueleza daktari hali halisi wala sikuficha kitu,akaamuru nipimwe mkojo. Majibu yalitoka nina u.t.i nyingi sana. Akaniandikia dawa ziitwazo cipro na doxy. Dawa hizi zimenisaidia kidogo ila zimeathiri afya yangu maana ninanyonyesha, hivyo maziwa hayatoki vizuri kama mwanzo.
Swali: je u.t.i inaweza kusababisha muwasho sehemu za siri unaoambatana na uchafu ?