Msaada napatwa na vichomi kwenye moyo nini tatizo?

Msaada napatwa na vichomi kwenye moyo nini tatizo?

Habari zenu wadau.
Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini? Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo. Msaada
Nahisi mambo 2

1. Vidonda vya tumbo, hasa kwenye mfuko wa chakula
2. Kutokunywa maji ya kutosha.

Note: sina taaluma ya Afya, nimejibu kwa experience ya kitaa tu, ni vyema ukapima Hospital
 
Angalia na mafuta unayokula yaani vyakula vyenye lehemu halafu inaonesha hupigi mazoezi
 
Habari zenu wadau.

Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini?

Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo.

Msaada
Ufike hospital ambayo inauwezo wa kufanya vipimo vinavyo husiana na moyo mapema ili kujiridhisha na kupata matibabu, Kama uko mikoa karibu na Geita basi Uje WAJA HOSPITAL
 
Ukienda hospital watakuambia ulcer / heart attack hata kama hauna na hili ni kwa uzoefu wangu

1:Fanya mazoezi makali
2:Tuliza akili shindana sana na mawazo , usiruhusu stress hata iwaje
3: Kunywa maji mengi sana
4: pumzika kwa wakati
5: kama una demu /mke mwambie akusaidie urelax na piga mechi haswa yani demu ajitoe sana kukupa raha akishindwa jichanganye na watu


Nb: Ukiona ni vyema waweza kwensa hospitali
 
Wahi hospital ndugu yaani injini inatoa mlio sio na check engine imewaka bado unataka kukomaa na kuendesha gari
 
Kama unavyosema vichomi basi kweli vitakua vichomi
 
Habari zenu wadau.

Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini?

Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo.

Msaada
your cardiovascular health iko na shida. nenda kwa cardiologist.
 
Back
Top Bottom