Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Nahisi mambo 2Habari zenu wadau.
Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini? Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo. Msaada
Nahisi mambo 2
1. Vidonda vya tumbo, hasa kwenye mfuko wa chakula
2. Kutokunywa maji ya kutosha.
Note: sina taaluma ya Afya, nimejibu kwa experience ya kitaa tu, ni vyema ukapima Hospital
Habari zenu wadau.
Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini?
Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo.
Msaada
Pole sana mkuuHabari zenu wadau.
Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini?
Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo.
Msaada
Ufike hospital ambayo inauwezo wa kufanya vipimo vinavyo husiana na moyo mapema ili kujiridhisha na kupata matibabu, Kama uko mikoa karibu na Geita basi Uje WAJA HOSPITALHabari zenu wadau.
Nimekuwa nasumbuliwa na kupatwa na vichomi katika moyo sijui tatizo ni nini?
Mwenye kujua aina hii ya maradhi na jinsi ya kutibiwa anipe mwongozo.
Msaada
your cardiovascular health iko na shida. nenda kwa cardiologist.Habari zenu wadau.