mambo ya kuzingatia ili uweze;
a. fanya mazoezi ya marakwa mara ktka kuongea na ku-review
b. unapojaribu kuongea muda wwte uupendao(code switching) usisikilize wala kuangalia nani anakuangalia au hapendi uongee. we kua bz na mambo yako
c. inqpojfunza lugha hii yapasa uwe na willingness yaani lengo
na kupenda.
d. soma material mbalimbali ioi uweze kuimprove vocabulary account
e. soma vitabu vya sarufi ya kiingereza (contemporary ENGLISH GRAMMAR) kwani hutopata popote kanuni za kukusaidia kuelewa kiingereza kwa usahihi
f. tumia kamusi marakwa mara na uwe mdadisi wa kila unfamiliar vocabulary yaani misamiati mipya. Hii itakuonesha kuwa unaanza kuwa na ufanisi na kwmb unqlaanza kushika maneno muhimu.
by mhenga..........
Sent using
Jamii Forums mobile app