Mzalendowavita
Member
- May 13, 2017
- 96
- 37
Kawauulize karanga,na majipu wamewezea wapi kisha uunge telaNapenda sana niweze kuongea kiingereza lakin tabu inakuja namna ya kuunga maneno ili yalete maana kama kuna mtu anaweza anisaidie maana nakosa fursa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki Na Tuition ya Rasi Simba usipojua kuongea Kingereza ndani ya miezi Mitatu hutajua tena labda ukazaliwe ulaya upya..Napenda sana niweze kuongea kiingereza lakin tabu inakuja namna ya kuunga maneno ili yalete maana kama kuna mtu anaweza anisaidie maana nakosa fursa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji81]Kunywa konyagi
Nashukuru kwa ushauri wakomambo ya kuzingatia ili uweze;
a. fanya mazoezi ya marakwa mara ktka kuongea na ku-review
b. unapojaribu kuongea muda wwte uupendao(code switching) usisikilize wala kuangalia nani anakuangalia au hapendi uongee. we kua bz na mambo yako
c. inqpojfunza lugha hii yapasa uwe na willingness yaani lengo
na kupenda.
d. soma material mbalimbali ioi uweze kuimprove vocabulary account
e. soma vitabu vya sarufi ya kiingereza (contemporary ENGLISH GRAMMAR) kwani hutopata popote kanuni za kukusaidia kuelewa kiingereza kwa usahihi
f. tumia kamusi marakwa mara na uwe mdadisi wa kila unfamiliar vocabulary yaani misamiati mipya. Hii itakuonesha kuwa unaanza kuwa na ufanisi na kwmb unqlaanza kushika maneno muhimu.
by mhenga..........
Sent using Jamii Forums mobile app
English learning for all beginners.Napenda sana niweze kuongea kiingereza lakin tabu inakuja namna ya kuunga maneno ili yalete maana kama kuna mtu anaweza anisaidie maana nakosa fursa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda sana niweze kuongea kiingereza lakin tabu inakuja namna ya kuunga maneno ili yalete maana kama kuna mtu anaweza anisaidie maana nakosa fursa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya rasi simba ni kweli au mjini shule nieleweshe vizrCheki Na Tuition ya Rasi Simba usipojua kuongea Kingereza ndani ya miezi Mitatu hutajua tena labda ukazaliwe ulaya upya..
Watamrudishia pesa yakeCheki Na Tuition ya Rasi Simba usipojua kuongea Kingereza ndani ya miezi Mitatu hutajua tena labda ukazaliwe ulaya upya..
Ungia hapa. Haitaji malipo ni ww na muda wako tuhNapenda sana niweze kuongea kiingereza lakin tabu inakuja namna ya kuunga maneno ili yalete maana kama kuna mtu anaweza anisaidie maana nakosa fursa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app