Msaada: Napotuma maombi ya chuo namba ya uthibitisho (Verification number) inakataa

0653351683

New Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
4
Reaction score
2
Habari zenu ,

wapendwa mm naitwa elia,nmemaliza diploma ya ualimu secondary mwaka huu,sasa changamoto yangu ni wakati huu wa ku apply chuo kikuu ambapo kila nikitaka verification number inakataaa na napokea ujumbe kwamba sikuwa na vigezo vya kusoma Diploma.

Kwa o level nilikuwa nna c tatu na nikafanya paper ya advance Kama PC (private candidate) na nikapata three ya 14 ndio nikajiunga na Diploma
 
Jamani msaidieni huku Elia analia huku.
 
Kwanza verification namba unayo.?? AVN namba award verification number inapatikana ..Nacte.go??? Unayotakiwa kutumia kuapply chuo?? Inatolewa kwa elfu 10 umeipata???
 
Tuma screenshot, unapokwama hapo tuone unaweza hide baadhi ya info
 
Bado ndo hiyo naihangaikia killa nikiingiza username. Na password Wanadai kuwa cheti changu cha form four Hakina sifa,kwan wao wanataka pass. Nne,lkn mi nna c 3 ambazo ziliniwwzesha kufanya paper ya advance Kama private candidate,
 
Lazima uwe na pass 4 za O level, vinginevyo ni kupoteza muda. Moyo wa elimu nchi hii upo kidato cha nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…