Msaada: Naruhusiwa kunyonya ziwa baada ya muda gani?

Msaada: Naruhusiwa kunyonya ziwa baada ya muda gani?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wakuu na wataalam wa mambo ya Afya naombeni kujuzwa. Kwa mtu mwenye mke anayenyonyesha mtoto, mume anaruhusiwa kunyonya ziwa la mkewe baada ya mda gani?
 
Wakuu na wataalam wa mambo ya Afya naombeni kujuzwa.Kwa mtu mwenye mke anayenyonyesha mtoto,mume anaruhusiwa kunyonya ziwa la mkewe baada ya mda gani?

Kama sijakosea nilivyomwelewa mdau ni kwamba ni wakati gani ataweza kuchezea nyonyo za mkwe kwa kuzitia ashki wakati bado mwanae nae natumia
Sema tu neno kunyonya ndo limeleta shida kidogo lakini sidhani kama kuna watu wananyonya matiti ya wake zao(sijui)

KAMA NI KWELI WAPO BASI HIYO NI MAADA NYINGINE

Ushauri wangu ni kwamba aendelee tu kunyonya (si kunyonya kabisa) ila cha kuzingatia tu ni kwamba mama awe mwangalifu juu ya swala zima la usafi yaani ni wakati gani baba ananyonya na ni wakati gani mtoto atahitaji kunyonyeshwa.

Ila wanawake mna kazi kweli kweli najaribu kuwaza tu eti jibaba limeinamia titi duh
 
Yaani kwli tuna kazi watoto wanyonye nalo libaba jitu zima nalo linatak kunyonya daaah mtatuua
 
Mbona viko vingi tu vya kunyonywa!!hivi ule mtindi ulivyokuwa ndala bado unatamani kuunyonya tu?acha mali za watoto ulianza acha watoto wamalizie kwanza ww na mtt wako wa kwanza ndo mmelivuruga hilo nyonyo......!
 
wamama kazi mnayo mnyonyeshe watoto na baba zao tena!!!
 
wanawake wana majukumu makubwa sana aisee. Mtoto anyonyeshwe mpaka ashibe, mume nae anyonyeshwe! khaa
 
Back
Top Bottom