Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

adeh1

Member
Joined
Jul 28, 2024
Posts
6
Reaction score
0
Msaada jamani nashindwa Kubadilisha cheti ajira portal kuweka kilichokuwa certified. Kila nikojaribu naletewa hivi.

IMG-20240725-WA0009.jpg
 
Angalia format ya hiyo document itakuwa ni kubwa ukiona aijazidi mb 2 inagoma badili browser tumia nyingine
Nimebadili browser na nimejaribu kichange format mpaka 93kb lakini bado inaniletea jibu hilo hilo
 
Sasa ku edit SI ndio kubadilisha mkuu au ww unafikir ku edit ni kufanya nini?
Hapo pa kuedit ndo kila nikiedit naletewa Hilo jibu na cheti hakibadiliki kinabaki kile kile
 
Najaribu kuweka profile picture kwenye ajira portal inagoma naomba msaada
 
Mkuu kwema?. Na mimi nimekutafuta Pm.
Natanguliza shukrani.
Mkuu kwema nami nilikutana na changamoto hyo
Cheti kilikuwa kwenye mfumo wa pdf kikawa kinagomaa ku upload ikabidi ni scan kwenye mfumo wa picture jpg kikakubali

Option ya pili clear cache kwenye browser unayotumia then upload upya

Option ya tatu badili browser
 
MSAADA: Nashindwa ku Add vyetii ambavyoo vimeko Certified Naombeni maelekezo kdogo
 
Attachments

  • 20240804_131306.jpg
    20240804_131306.jpg
    53.8 KB · Views: 25
Mkuu kwema nami nilikutana na changamoto hyo
Cheti kilikuwa kwenye mfumo wa pdf kikawa kinagomaa ku upload ikabidi ni scan kwenye mfumo wa picture jpg kikakubali

Option ya pili clear cache kwenye browser unayotumia then upload upya

Option ya tatu badili browser
Ahsante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom