Msaada: Nashindwa kufungua Mfumo wa Utumishi-ESS PEPMIS kwa Tablet, shida itakuwa nini?

Msaada: Nashindwa kufungua Mfumo wa Utumishi-ESS PEPMIS kwa Tablet, shida itakuwa nini?

Atui

Senior Member
Joined
Jun 18, 2022
Posts
178
Reaction score
221
Wakuu msaada, ulikuwa unafungua vizuri tu kwa ZTE Tablet lakini kuanzia wiki hii imeanza unagoma kabisa nikaona niombe msaada kwa watalam hapa, shida inakuwa nini wakuu?
 
Hizo ESS na PEPMIS ni nini? Mbona kama umekimbizwa kwa aina ya uandishi wako.Em tulia kwanza alafu uandike upya hiyo changamoto yako.
 
Habari, ni vizuri ukatoa screenshot ili tuone error inayoleta.
 
Back
Top Bottom