A Atui Senior Member Joined Jun 18, 2022 Posts 178 Reaction score 221 Jul 4, 2024 #1 Wakuu msaada, ulikuwa unafungua vizuri tu kwa ZTE Tablet lakini kuanzia wiki hii imeanza unagoma kabisa nikaona niombe msaada kwa watalam hapa, shida inakuwa nini wakuu?
Wakuu msaada, ulikuwa unafungua vizuri tu kwa ZTE Tablet lakini kuanzia wiki hii imeanza unagoma kabisa nikaona niombe msaada kwa watalam hapa, shida inakuwa nini wakuu?
P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,157 Reaction score 1,983 Jul 4, 2024 #2 Hizo ESS na PEPMIS ni nini? Mbona kama umekimbizwa kwa aina ya uandishi wako.Em tulia kwanza alafu uandike upya hiyo changamoto yako.
Hizo ESS na PEPMIS ni nini? Mbona kama umekimbizwa kwa aina ya uandishi wako.Em tulia kwanza alafu uandike upya hiyo changamoto yako.
Mzembe flani JF-Expert Member Joined Jul 1, 2019 Posts 201 Reaction score 225 Jul 5, 2024 #3 Habari, ni vizuri ukatoa screenshot ili tuone error inayoleta.