Msaada: Nashindwa kuingia

Magisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
617
Reaction score
498
Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha.
 
Mimi nashindwa kutoka, jogoo akishaingia hataki tena kutoka! Tatizo ni nni? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha
 
Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha.
Hebu jaribu kubadili mtandao uone?
 
Acha uzinzi, Muumba wetu ametukataza, Fanya mpango uoe, Mola atatia Baraka mambo yako
 
Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha.
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Exactly what happened to me kwnye cku za kwanza kwanza...

Nakumbuka hlo tatizo lilidumu kama miezi sita iv, ila huyu mke wangu alikua ana imani sana na mm.... Cku ilipokubali kuingia ni mwendo mchibuyu had sa iv!

Kikubwa jiamini mzee!
 
Kwanza Kabisa Acha Kupiga Puchu! Ukishaacha tu Nitakufundisha jinsi ya Kujitibu.
Mkuu Puli itakumaliza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…